Hapo jana katika harakati za kuwaongezea nguvu askari wa Mtwara wanajeshi waliagizwa kwenda Mtwara ili kuongeza nguvu baada ya hali kuwa mbaya kutokana na uchache wa maaskari waliopo Mtwara.Kipindi wapo njiani kuelekea Mtwara maeneo ya kilimahewa Gari yao ilipata ajali kusababisha vifo vya wanajeshi wanne na wengine saba kupata majeraha.Idadi ya wanajeshi waliokuwemo kwenye gari hilo ni 32.
Pia katika nyakati nyingine lipoti ya athari iliyotokea Mtwara amesomwa asubuhi hii na kudai kwamba askari wawili wamejruhiwa katika mapambano ya Mtwara dhidi ya wanchi pia raia mmoja alipotiwa kufariki dunia katika vurugu hizo.Pia imetajwa vitu ambavyo vimeharibiwa kwa kuchomwa au kuvunjwa ni pamoja na ofisi ya CCM,Nyumba ya mbunge maeneo ya Mikindani,Ofisi ya mahakama mwanzo pamoja na ofisi ya mtendaji Magomeni.
Pia kwa taarifa tulizopokea kutoka Mtwara ni kwamba hali bado ni mbaya mpaka leo hii asubuhi maeneo ya Magomeni kwani maaskari wamekuwa wakipiga mabomu na maduka kadhaa ya wananchi yameripotiwa kuwaka moto ambao unasadikika umesababishwa na maaskari.
Taarifa zaidi endelea kuwa nasi

0 comments :
Post a Comment