-->

PICHA ZA TUKIO LA KULIPULIWA KWA KANISA MKOANI ARUSHA

 
 Kamanda polisi mkoa wa Arusha Liberatus Sabas akizungumza na waandishi wa habari kwamba kuna mtuhumiwa mmoja anashikiliwa na polisi mpaka.
 

Mbunge  wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema akiwa na mbunge wa Arumeru mashariki wakiwasili kwenye eneo la tukio.



Jengo ambalo lilikuwa linatakiwa kuzinduliwa leo hii.

Balozi wa Vatican nchini Tanzania,Askofu Mkuu Fransis akiondolewa kwenye eneo la Kanisa hilo kwa sababu za kiusalam.
                                   BOFYA HAPA KWA MAELEZO ZAIDI
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment