-->

NAYMAR AJIUNGA NA BARCELONA

Mchezaji chipukizi kutoka nchini Brazil anaeitwa Neymar amejiunga na timu ya Barcelona kwa dau la pauni milioni 20 ambayo ni zaidi ya bilioni 48 kwa pesa zetu za madafu.Mchezaji huyu alikuwa akiwindwa na vilabu vikubwa vingi kama vile Madrid,Chelsea,Man city na vingenevyo.
Ikubukwe kwamba Neymar anaingia katika msululu wa wachezaji mastaa wa Brazil ambao wamepata bahati ya kuchezea timu ya Barcelona baada ya Romalio1993,Rivaldo1996,Ronaldo 1997 na Ronaldinho 2003.

Mchezaji huyu amesaini mkataba wa miaka mitano na klabu hiyo ya Hispania na kuiongezea nguvu timu ya Barcelona katika safu ya ushambuliaji kwani watatengeneza kombinsheni ya Messi na Neymar
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment