-->

MORHINHO NA RONALDO WAPEWA KADI NYEKUNDU,ATHLETICO WABEBA KOMBE

Christian Ronaldo pamoja na Jose Morhinho walipewa kadi nyekundu katika mchezo wa fainali la kombe la Mfalme ambalo lilikuwa kombe pekee ambalo Real Madrid walikuwa wanaliwania baada ya kulikosa kombe la ligi kuu pamojaa na lili la klabu bingwa ulaya.Katika mchezo huo matokeo yaliishia kwa mabao 2-1
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment