Nchini China watu kadhaa wamelipotiwa kukamatwa na polisi kwa kosa la kuuza nyama ya Mbwa na Panya katika migahawa ya umma wakiongopea kwamba ni nyama ya kawaida.imekuwa ikifahamika kwamba katika nchi ya China kuna baadhi ya watu wanakula mbwa na panya na wengine hawali hivyo kitendo cha kuuza panya na mbwa kwenye miigahawa ya umma ni mikosa.
Picha za hapo juu sio za watu waliokamatwa bali ni moja ya sehemu ambazo zinajishughulisha na uuzaji wa nyama ya mbwa kama vile ilivyochukuliwa kutoka DAILMAIL
ingawaje kumekuwa na kampeni za kupinga tendo hilo
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment