TIZAMA PICHA ZA DAVID LUIZ AKIMUONGOPEA REFA
Matukio kama haya yamekuwa si ya kwanza kutokea katika ligi mbali mbali duniani katika kwani yamekuwa yakifanywa na wachezaji makusudi wakimlazimisha refa kufanya maamuzi fulani aidha kwa kutoa kadi nyekundu au kutoa kadi nyekundu kwa timu pinzani kama vile alivyopewa Rafael kadi nyekundu.
0 comments :
Post a Comment