-->

WIGAN ATHLETIC WABEBA KOMBE LA FA MIKONONI MWA MAN CITY

Ben Watson scores.
Wigan Athletic's Ben Watson, right, celebrates scoring in the FA Cup final against Manchester City

Timu ya Wigan Athletic hapo jana ilifanikiwa kujibebea kombe kotaka mikononi mwa timu ya Man city,kwani hakuna aliyeamii kwamba kombe hilo litabebwa na timu hiyo ya Wigan Athletic ambao kihistoria waliwahi kufika robo fainali mara moja tu(1987).Aikuwa ni Ben Watson ambae alipeleka msiba katika timu hiyo ya Mancheter city.Ushindi huo ambao wameupata timu ya Wigan unamueka pabaya kocha wa Man city kutokana na timu hiyo kutumia pesa nyingi pasina mafanikio hivyo huenda akatimuliwa  baada ya kuukosa ubingwa wa kombe la FA
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment