-->

SHAFFIH DAUDA AFANYA MAHOJIANO NA ADAM NDITI,MTANZANIA ANAECHEZEA CHELSEA


Shaffih Dauda ambae ni mtangazaji wa clouds fm ambae alikuwa nchini uingereza kwa ajili ya mechi ya fainali kati ya Buyern munich na Dortmund,katika harakati zake amefanikiwa kupata mahaojiano na mchezaji kinda Mtanzania wa timu ya Chelsea anaefahamika kwa jina la Adam Nditi.Katika mahojiano hayo mchezaji huyo alimwambia Shaffih Dauda kwamba anatamani kuchezea timu ya taifa ila hajabahatika kuitwa timu ya taifa.kama alivyonukuliwa kwenye mtandao wa facebook
"kiukweli sijawai kupewa mwaliko wa kuichezea Taifa Stars,Nipo tayari kuichezea timu yangu ya Taifa -Adam Nditi."Shaffih Dauda
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment