-->

KISA CHENYE MAFUNZO(VOL 16)JINSI ALIVYOPISHANA NA PESA

KISA CHENYE MAFUNZO(VOL 16)
Bwana mmoja aitwae Hamphrey alikuwa na shamba kubwa sana ambalo alikuwa akilitumia kwa kilimo,siku zote katika maisha yote alikuwa anapenda kuwa mchimba almasi kwa sababu alikuwa na mawazo ya kumiliki pesa nyingi kaika maisha yake.
Alifanya jitihada kubbwa sana kwenye kilimo lakini hakufanikiwa kuwa tajiri,Akaamua kuuza shamba lake na kuamua kwenda kuchimba almasi.Katika ya almasi hakubahatika kupata almasi na maisha yakawa magumu mno kuliko pale awali.
Akaamua kurudi kwao ili kutafuta shamba la kukodisha ili aendelee kulima,akaamua kumtafuta aliyemuuzia shamba ili amkodishie walau kwa mwaka mmoja,cha ajabu na kushangaza akakuta shamba lile ni mgodi wa almasi na jamaa amewaleta wawekezaji kutoka nje ya nchi na kujivunia mapesa ya kutosha kwa siku..
FUNZO:hapo ulipo kuna fursa nyingi za kukuwezesha kupata pasina kuzamia meli wala kukimbia mji wako...
VUMBUA FURSA TENGENEZA PESA
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment