Timu ya Victory Universty Uganda imewatoa Mbeya City kupitia goli la mkwaju wa penati baada ya mchezaji wa Mbeya City kucheza faulo kwenye penati boksi iliyompelekea kupewa kadi nyekundu.
Mbeya City walifanikiwa kufika robo fainali lakini bahati haikuwa yao kwani walichapwa bao bila 1-0.kombe hilo la Nile Basin Cup lilifanyika sudan khartom na bado linaendelea,Mbeya City ilikuwa ndio timu pekee iliyochaguliwa na kupewa nafasi hiyo ya upendeleo kwani nchi shiriki ni zile zote zilizopitiwa na mto NailWatanzania waishio Sudan wakiwa uwanjani kuisapoti timu ya nyumbani Mbeya City
credit to Abu Abdir rahman

0 comments :
Post a Comment