Ni chini ya mwezi
umebaki tokea ’2014 World Cup’ kuanza kwenye “12 Cities” nchini ‘Brazil’
ambapo waandamani wamekuwa na hasira sana kwa kiasi cha mabilion ya
fedha kilichotumika kwa ajili ya mashindano hayo wakati maisha ya
wananchi kama Nyumba, Hospitals na project zingine za kijamii katika
nchi ya Brazil bado katika hali ngumu kimaisha. Wameripoti BBC.
Waandamanaji hao wenye hasira zaidi wapo kwenye miji ya SAO Paolo na
Rio De Jeneiro, ambapo wanarusha mawe kwa Police na kuchoma matairi
barabarani kuzuia barabara kutumika huku police wakiwatupia mabomu ya
machozi na kuwasambaratisha. Waandamanaji hao wameahidi kuwa maandamano
hayo yatazidi kuongezeka zaidi mshindano hayo yanavozidi kukaribia.
Photo Credit: AFP/www.bbc.com
0 comments :
Post a Comment