Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua rasmi Mkutano wa siku mbili wa Mazungumzo
baina ya Viongozi wa Dini mbalimbali na Wanasiasa kuhusu ujenzi wa
Demokrasia, Maendeleo na uimarishwaji wa Amani ulioshirikisha nchi za
Afrika na kufanyika kwenye Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam,
leo Mei 6, 2014. Picha na OMRMakamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TAnzania,. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akishiriki dua ya pamoja na baadhi ya viongozi wa dini, kutoka
(kushoto) ni Katibu Mkuu wa BAKWATA, Sheikh Suleiman Loila, Askofu Dkt.
Alex Malasusa na (kulia) ni Sheikh Khamis haji, wakati wa ufunguzi rasmi
wa Mkutano wa siku mbili wa Mazungumzo baina ya Viongozi wa Dini
mbalimbali na Wanasiasa kuhusu ujenzi wa Demokrasia, Maendeleo na
uimarishwaji wa Amani ulioshirikisha nchi za Afrika uliofanyika kwenye
Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam, leo Mei 6, 2014. Picha na
OMRMakamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Katibu wa Chadema, Dkt. Willibrod Slaa, wakati wa
kupiga picha ya pamoja baada ya kufungua rasmi Mkutano wa siku mbili wa
Mazungumzo baina ya Viongozi wa Dini mbalimbali na Wanasiasa kuhusu
ujenzi wa Demokrasia, Maendeleo na uimarishwaji wa Amani ulioshirikisha
nchi za Afrika na kufanyika kwenye Hoteli ya White Sands, jijini Dar es
Salaam, leo Mei 6, 2014. Picha na OMR
Baadhi
ya wadau wa mkutano huo waliohudhuria, kutoka (kushoto) ni Wilfred
Mlay, Dkt. Willibrod Slaa, Hellen Kijo-Bisimba na wengineo wakishiriki
dua ya pamoja.Askofu Dkt. Alex Malasusa, akizungumza wakati wa Mkutano huo. Baadhi
ya wadau waliohudhuria mkutano huo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wakati
akifungua ramsi mkutano huo wa mazungumzo Mazungumzo baina ya Viongozi
wa Dini mbalimbali na Wanasiasa kuhusu ujenzi wa Demokrasia, Maendeleo
na uimarishwaji wa Amani ulioshirikisha nchi za Afrika na kufanyika
kwenye Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam, leo Mei 6, 2014.
Picha na OMR
Home
/
habari za kitaifa
/
WANASIASA,VIONGOZI WA KANISA PAMOJA NA VIONGOZI WA BAKWATA WAFANYA MKUTANAO WA SIKU MBILI WA KUHUSU AMANI YA NCHI
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment