-->

MBEYA CITY WAPATA BAHATI YA KUSHIRIKI SECAFA NILE BASIN CUP LITAKALOFANYIKA HUKO SUDAN

Ndugu wadau timu yenu ya Mbeya City Fc imepewa nafasi na katibu mkuu wa SECAFA Mh Nicholaus Mufonye kushiriki michuano ya kombe la mto Nile "SECAFA NILE BASIN CUP" yatakayofanyika Hatoom Sudan kuanzia tarehe 22/5/2014 hii ni heshima iliyotokana na timu yenu kufanya vizuri na kuleta changamoto katika tigi kuu.

Ifuatayo ni orodha ya timu zitakazoshiriki na nchi zinakotoka.

El-shandy, El-arab, Merreck. zote za Sudan

Victoria university ya Uganda

Ports ya Djibouti

Ismailia ya Misiri

Polisi ya Zanzibar

Mbeya city ya Tanzania

polisi ya Ruanda

Fumbiue ya Burundi

A F C Leopards ya Kenya

De fence forces ya Ethiopia

El- mereck ya Sudan kusin

El-man yaSomalia

Anaeonekana pichani ni katibu mkuu wa SECAFA Bw.Nicholaus Musonye timu hizo zitashindania Dollar 30,000.

maombi yenu ndio mafanikio ya timu yetu, tutakujulisha siku ya timu kuondoka kuelekea Sudan.

FREDDY JACKSON
AFISA HABARI MCC FC.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment