-->

MAMIA WAFURIKA KWENYE MAULIDI YA MTUME(S.A.W) ILIYOFANYIKA CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO


 MHADHIRI WA KWANZA AKITOA MADA KWENYE MAULID






 VIJANA WAKIPIGA BAADA YA MADA YA KWANZA KUWASILISHWA

 USTADH MSOMA AKIONGOZA MADRASA YAKE WAKATI WA DUFU LIKIENDELEA

 WANADADA KUTOKA KIKUNDI CHA UMMAYAD KILICHOPO MUM WAKIWA KWENYE MAULIDI HUKU NYUSO ZAO ZIKIWA NA FURAHA NA BASHASHA
 VIJANA WA MAULIDI WAKIWA WANACHEZA DUFU ILIYOKUWA IKIPOIGWA NA MADRASA TOFAUTI TOFAUTI





 SHEKH MOHAMED IDDI AKIWASILISHA JAMBO KATIKA MAULIDI YALIYOFANYIKA KWENYE CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO
 SHEKH MOHAMED IDD AKIFAFANUA MAMBO YA MAULIDI KWA UNDANI

 MOHAMED ITULI AKIISOMA QUR'AN KWA HUKUM
 MWENYEKITI WA MAULIDI AKIWA NA NYUSO YA BASHASHA BAADA YA MADRASA YA AL HASANIA KUPIGA DUFU


 USTADH RAMADHANI,MMOJA WA WANAKAMATI YA MAULIDI KATIKA CHUO KIKUU CHA KIISLAM MOROGORO
 SHEKH MOHAMED JALALA AKIWAASA WAISLAM DHIDI YA UMOJA NA KUTO ENDEKEZA MAKUNDI.HUKU AKIGUSIA UMUHIMU WA KUTILIA MKAZO ELIMU HASA UKIZINGATIA KWAMBA WAISLAM BADO WANAWASOMI WA CHACHE KATIKA NGAZI MBALI MBALI.
 MWENYEKITI WA JUMUIYA YA MAULIDI KATIKA CHUO KIKUU CHA WAISLAM MOROGORO USTADH YUSUPH M. YUSUPH
 VIJANA WA UHURU MADRASA WAKIPIGA DUFU HUKU VIJANA WA MUM WAKICHEZA KWA UMARIDADI WA PEKEE



 MWENYEKITI WA TAKUKURU TAWI LA MUM ALIYEVALIA KOTI KOFIA NYEUPE NA KANZU NYEUPE AKIWA ANAMSIKILIZA MHADHRI KWA UMAKINI
 BAADA YA SHUGHULI NZIMA KUKAMILIKA PIA KULIKUWA NA MUDA WA KUPATA CHAKULA KWA WOTE WALIOHUDHURIA KWENYE MAULIDI.WATU WALIKULA NA KURUDIA ILIKUWA INARUHUSIWA MPAKA MTU ARIDHIKE


Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment