KISA CHENYE MAFUNZO(VOL 15)
Mmama mmoja wa kizungu nchini Uingereza
allikuwa akisafiri na ndege.Kiti ambacho alipaniwa alijikuta anakaa
karibu na mtu mweusi.Alichukizwa sana kiasi cha kumuita mhudumu wa ndege
na kuanza ndio umenifanyia nini?
mhuudumu:kivipi?
mmama:kwa nini umeniweka karibu na huyo ngozi nyeusi?tafadhali nitafutie nafasi nyingine
mhudumu:sidhani kama kuna nafasi humu ngoja nijaribu kukutafutia.
Mhudumu akatafutaa nafasi hakupata kisha akaenda kwa kiongozi wa ndege
na kumuadithia lile tukio kisha akarejea na kuanza kumwambia yule mmama
wa kizungu.
mhuudumu:samahani kwa humu halkuna nafasi ila nafasi ipo
kwenye first class na sheria za ndege haurusiwi kwa wewe mwenye tiketi
ya economy class kwenda kukaa first class.
Kisha yule mhudumu
akamsogelea yule mtu mweusi na kumueleza kwa hekma na busara kwamba kama
atakuwa tayari basi ipo nafasi moja kwenye first class aende akakae
ikiwa ni kama nafasio ya upendeleo kuepusha kubdha kutoka kwa yule mmama
wa kizungu.
Yule mmama wa kizungu aliumia sana kuona ile nafasi ya first class kapewa mtu mweusi na sio yeye......
HIKI NI KISA CHA KWELI KILICHOTOKEA NCHINI UINGEREZA
toa maoni yako hapo chini kama wewe ni mpinga ubaguzi kama mimi
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment