-->

TIZAMA VIWANGO VIPYA VYA SOKA,BRAZI WAONGOZA

FIFA World Rankings: Updated 2014 Standings Leading into Brazil World Cup WAKATI siku za kuanza kwa kombe la dunia nchini Brazil zikizidi kuyoyoma, FIFA wametoa orodha ya viwango vya ubora kabla ya mataifa mbalimbali kwenda kuumana kuanzia juni 12-julai 13.

Jumla ya timu 143 zimebaki katika nafasi zao za mwezi wa nne, lakini kumetokea mabadiliko makubwa katika timu 10 bora.
Wenyeji wa kombe la dunia, Brazil wamekuwa taifa la juu zaidi katika viwango vya mwezi mei kutoka bara la Amerika.
Samba Boys wamepanda mpaka nafasi ya 4 katika orodha ya mwezi huu, huku Colombia wakishika nafasi ya tano na Uruguay wakishika nafasi ya tano.
Hii ndio nafasi nzuri zaidi waliyoshika Brazil katika viwango vya FIFA tangu mwaka 2011., imesema Fifa.com
Hii ndio orodha ya timu ishirini mwezi huu wa tano.
FIFA World Rankings: May 8, 2014
PositionNationPlaces MovedPoints
1.Spain01460
2.Germany01340
3.Portugal01245
4.BrazilUp 21210
5.ColombiaDown 11186
6.UruguayDown 11181
7.ArgentinaDown 11178
8.Switzerland01161
9.Italy01115
10.Greece01082
11.England01043
12.Belgium01039
13.ChileUp 11037
14.USADown 11015
15.Netherlands0967
16.France0935
17.Ukraine0913
18.Russia0903
19.Mexico0877
20.Croatia0871
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment