PATA TASWIRA YA MAHAFARI YA TAMSYA KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU NA VYA KATI MKOA WA MOROGORO Unknown 9:15 AM habari za kitaifa Edit Ustadh Suleiman Msamaa akiwa anawasilisha mada kwenye hafla hiyo Meza kuu ikiwa inafuatilia kwa makini mada inayotolewa Hapo awali kabla ya ukumbi kufurika vijana wakifuatilia mada iliyokuwa ikiwasilishwa Ukumbi ukiwa unazidi kufurika mashekh kutoka sehemu mbali mbli Mkanalile akiwa anachukua video ya tukio zima waigizaji wa CHAWAKAMA wakiigiza katika hafla hiyo waigizaji wakiwa wanafanya yao jukwaani wadada wakiwa wanaigiza kama wahitimu wanaopewa darsa Shekh Kundecha akiwa anawasili ukumbini Shekh kundecha akilakiwa na wenyeji Shekh Suleiman Filambi akiwasilisha jambo baada ya igizo Amiri wa shura ya maimamu na mjumbe wa bunge maalumu la katiba Shekh Kundecha akitoa mada Shekh Kundecha akisisitiza umoja kwa waislam Shekh Wazili Maduga akiwasilisha mada Mgeni rasmi Profesa Juma Mikidadi ambae amekaimu nafasi ya Profesa Njozi Amiri wa TAMSYA Ustadh Abuu Khanifa Mwisho kabisa ni wakati wa maakuli Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About Unknown RELATED POSTS
0 comments :
Post a Comment