KISA CHENYE MAFUNZO(VOL 19)
Kijan mmoja alifukuzwa na simba na kukimbilia juu ya mti,simba akawa anamsubiri chini...alipotizama pembeni akaona joka kubwa jeusi nalo limekaa kwa chini ya ule mti likimsubiri adondoke kwa hamu.Aliogopa sana na kuamua kuendelea kubakia juu ya mti.
Mara ghafla akaona kumbe tawi alilokalia lilikuwa na panya wawili mweupe na mweusi wakilitafuna kwa kasi tawi lile alilokalia...:hofu ikaongezeka asijue nini cha kufanya na nipo alipotizama matawi ya juu na kuona kuna mzinga wa nyuki uliokuwa ukizez asali..alitanua mdomo na kuanza kuikinga asali kwa kinywa..
kila alipotaka kuacha kula asali akahisi utamu ndio unaongezeka hivyo akasahau kila kitu na kujitosa kwenye asali pasina kutizama popote..mara akasikia kitu kikilia tataaa tataa tataa ndipo akajikuta ameanguka chini...... na kuliwa na wanyama hao wakali kwa kugombea.
TAFSIRI:Simba na Joka jeusi ni kifo na kaburi
Panya mweupe na mweusi ni usiku na mchana
Asali ni raha za dunia
mti ni dunia...
JE UMEJIFUNZA NINI KWA KISA HIKI??

0 comments :
Post a Comment