Jana UKAWA walianza ziara yao ya kutoa elimu na kuwa eleza watanzania
kile ambacho kimetokea bunge la katiba na kuwafanya wao kutoka nje ya
bunge ilo. Jana walianza ziara hiyo katika mikoa mbalimbali nchi kwa
kuwagawa baadhi ya wanaUKAWA kwa mafungu kuligana na ratiba yao. Hali
isiyokuwa ya kawaida jana katika mkoa wa Morogoro wakati UKAWA
wakiendelea na mkutano ndipo vurugu zilipoanza kwa madai kuwa kuna
kijana alishiriki katika kumteka mgombea wa CHADEMA katika jimbo la
Kalenga.
Habari katika picha zilikuwa hivi:
Habari katika picha zilikuwa hivi:
0 comments :
Post a Comment