Kocha wa Taifa Stars Mart Nooij ametaja jina la kikosi kilicho
kambini kwa ajili ya michezo miwili ya nyumbani na ugenini dhidi ya
Zimbabwe katika kutafuta nafasi ya kushiriki kombe la mataifa ya Africa
itakayofanyika Morocco mwakani. Kikosi hicho ni:
Magolikipa:
Deogratias Munishi
Aishi Manura
Mabeki:
Said Morad
Oscar Joshua
Kelvin Yondani
Erasto Nyoni
Nadir Haroub
Shomari Kapombe
Viungo:
Himidi Mao
Mwinyi Kazimoto
Frank Domayo
Amri Kiemba
Jonas Mkude
Haruna Chanongo
Simon Msuva
Mrisho Ngassa
Hamis Mcha
Washambuliaji::
Ramadhan Singano
John Bocco
Kelvin Friday
Elias Maguhi
0 comments :
Post a Comment