-->

SHUHUDIA PICHA ZA VIJANA WALIOPOTEZA MAISHA KWA KILE KILICHOSADIKIKA KUWA NI VIBAKA HUKO KIWALANI

WAKIWA WAMEPOTZA MAISHA
Wananchi wenye hasira kali Kiwalani wakitoa kipigo cha Mbwa Mwizi kwa Vijana wawili wanaosadikiwa kuwa ni vibaka, wanaosumbua mitaani kwa kuiba na kukwapua, Vibaka hao wanajiita watoto wa Mbwa jumla ya idadi yao ni 40 ambapo mpaka sasa Vibaka 6 wameshauliwa na wananchi wa Kiwalani.

Hadi mdau wa habari hizi anaondoka eneo la tukio aliwaacha vijana hao wameshaaga dunia kufuatia kipindo kikali kilichoambatana na Mawe, matofali, mashoka, Nondo na vifaa vingine vyenye ncha kali.


Wakazi wa Kiwalini wakubwa kwa wadogo wakiwa wamefurika eneo la tukio. (Picha shukrani kwa Mdau Vasmo Onesmo).
CHANZO:KANDILI
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment