Baada ya kipeperushi cha kuwahamasisha wananchi kutofanya bishara katika siku ya tarehe 17/05/2013 yaani kufanya mgomo kwa kile kinachodaiwa kuwa mahitajio yao wananchi wa Mtwara kutotimizwa na serikali na huku serikali inahitaji kuvuna gesi ya Mtwara.Hivyo wananchi hao hii wamekaa kimya kwa kutoandamana ila baadhi wametii amri ya kipeperushi hicho na maaskari walionekana kuzunguruka mitaani kutizama hali ya vurugu yoyote ambayo ingeweza kujitokeza.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment