Picha za hapo juu zinaonyesha mapokezi makubwa ambayo Shekh Issa Ponda pamoja na waislam wengine waliotewa juu ambayo wameyapata kutoka kwa waislam wenzao ambao wamekuwa wakiacha usingizi kwa kumuomba Allah amfanyie wepesi Shekh Ponda pamoja waislam wote waliokuwa pamoja nao Mahabusu.Hivyo leo hii imekuwa siku ya kihistoria kwa waislam kwa kumpokea shujaa huyo aliekuwa akipigania haki ya waqfu iliyouzwa na taasis ya BAKWATA irejeshwe kwenye mikono ya waumini wa kiislam.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment