Gari ya mbunge Peter Msigwa ikiondoka maeneo ya mashine tatu huku wananchi wakiisukuma ikiwa kama ishara kupendezwa na maneno ambayo amekuwa akiwapatia
Baada ya kuondokja kwa mbunge huyo vurugu zilitawala baada ya maaskari kukataza na kuzuia watu kutofanya biashara kwenye eneo ambalo manispaa ya Iringa imepiga marufuku kwa biashara.
Habari zinasema kwamba mbunge huyo ametiwa mbaroni na maaskari kwa kosa la kuhamasha wananchi kufanya vurugu hizo
0 comments :
Post a Comment