-->

BREAKING NEWS:MORINHO AREJEA CHELSEA


Kocha Jose Morinho apata ajira katika timu ya Chelsea baada ya kutangatanga huku na kule ameamua kurejea rasmi katika timu hiyo ya Chelsea ambayo alikuwa akiifundisha hapo awali kabla y kwenda Inter milan kisha Real madrid.Kocha huyo mwenye umri wa mika 50 ambae ataingia London june 2 tayari kuja kuwanoa vijana wa Stanford bridge.Mornho ataingia hapo akiwa pamoja na kocha wake msaidizi Rui Faria pamoja na kocha wake wa makipa Silvino Louro.Morinho atakuwa akilipwa mshahara wa £250,000 kwa wiki na kupewa mkataba wa kuifundisha timu hiyo kwa miaka minne.Jose Mornho ataondoka katika klabu ya Real madrid mwisho wa msimu baada ya kucheza mechi yake ya mwisho dhidi ya Osasuna.Taarifa rasmi ya kuhama kwa kocha huyo bado haijatolewa ila mambo yenyewe yamevuja kwenye vyombo vya habari
SOURCE: dj-sek
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment