Raphael Benitez amesajiliwa katika timu ya Napoli ambayo ipo nchini Italia,Rphael Benitez mwenye umri wa miaka 53 ataitumikia timu hiyo ya Napoli baada ya kuwakabizi kombe la UEROPA timu ya Chelsea na kuipatia nafasi ya kucheza UEFA hapo mwakani.
Pia kocha huyo mwenye asili ya kihispania amepewa mkataba wa miaka miwili pamoja na mshahara wake kuwa ni €3.5million.Mkataba huo utakuwa ukirefushwa kila mwaka ikitegemeana na maendeleo ya timu hiyo.
0 comments :
Post a Comment