Zifuatazo ni picha watuhumiwa wengine wa kesi hiyo ya vurugu za wamachinga wakifikishwa mahakamani.
MH Mbunge mhungaji Peter Msigwa akiteremshwa mahakamani ambako baadae alikubaliwa dhamana kuachwa huru
Mbunge huyo wa Iringa kupitia tiketi ya chama cha CHADEMA alitiwa ndani hapo jana kwa kuhusishwa na vurugu zilizotokea jana na kufanya watu zaidi ya 50 kushikiliwa na polisi akiwemo na mbunge huyo.
0 comments :
Post a Comment