-->

BREAKING NEWS SHEKH PONDA AACHIWA HURU KUTOKA GEREZANI





Leo ndani ya mahakama ya kisutu Shekh Issa Ponda ambae alikuwa na tuhuma ya kuhusishwa na vurugu za kiwanja cha Markaz cha Chang'ombe.Leo hii amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja cha nje baada ya kukaa muda mrefu ndani ya mahabusu pasina kupewa dhamana.Hivyo hali hii ya Shekh Ponda pamoja na wenzake kutolewa imejenga faraja ndani ya nyoyo za waislam kwa kuachiwa kwa shekh kipenzi cha umma pamoja na wengine 49 ambao wao wameachiwa huru.Taarifa zaidi kaa ukisikiliza radio MUM 90.8
Pia tembelea blog hii ili kuziona picha za kipindi anatolewa na furaha za waislam wakifurahia kuachiwa huru waislam wenzao na Shekh wao kipenzi Shekh Issa Ponda.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment