-->

PAUL SCHOLES ASTAAFU TENA


Mchezaji wa manchester united aitwae Paul Scholes ametangaza tena kustaafu baada ya kustaafu hapo awali na kuombwa kurejea na kocha wake Sir Alex Ferguson baada ya kutokea tatizo la viungo kwenye timu hiyo ya Manchester united.
Paul Scholes ambae amecheza mechi 466 na kupata kadi za njano 90 na kadi nyekundu 4 alistaafu soka mwaka 2011 na kurejea tena kwenye msimu wa 2012/2013 na kucheza mechi 31 na kufanikiwa kupata mabao 5 na kumfanya kuwa na mabao 107 katika kipindi chake cha soka cha kuanzia 1993-2013.
Alipostaafu mara ya kwanza Xavi alitamka maneno haya
The Guardian, ”For me, and I really mean this, he’s the best central midfielder I’ve seen in the last 15, 20 years. He’s spectacular, he has it all, the last pass, goals, he’s strong, he doesn’t lose the ball, vision. If he’d been Spanish he might have been rated more highly. Players love him.”
Paul Scholes amefanikiwa kupata mafanikio makubwa sana katika soka kama yalivyo kwa hapo chini
11 premier league titles
3 FA titles
2 champion league crown
5 community shield
1 Intercontinental cup
1 world cup
Hi-res-168603794_crop_exact
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment