WIGAN ATHLETICS YASHUKA DARAJA LIGI KUU UINGEREZA Omari Makoo 10:40 PM habari za kitaifa , michezo Edit Baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Arsenal hapo jana sasa timu ya Wigan Athletic ambao pia ni mabingwa wa FA wameshuka daraja rasmi kwani hata ikishinda mechi iliyobakia itakuwa na pointi 38 hivyo hawatakuwa na uwezo wa kumfikia Aston vila ambae kwa sasa anapointi 39. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About Omari Makoo RELATED POSTS TAJIRI NAMBA MOJA AFRIKA ALIKO DANG...MAN U YAZINDUKA USINGIZINI KWENYE E...QUEENS ZANZIBAR YAFUNGWA BAO 10 CEC...
0 comments :
Post a Comment