-->

KWA HERI SHUJAA ALLY KLEIST SYKES.KIONGOZI WA JAMIAT ISLAMIYA FIY TANGANYIKA NA MUASIS WA TANU

Moja miongoni mwa viongozi wa Jamiat Islamiya fiy Tanganyika na muasis wa TANU ambae alishiriki vyema shughuli za harakati za kupigania uhuru akiunguna na wenzake wakina Abdul wahid sykes,Mzee Chaurembo,Idd Faiz Mafongo,Rashidi Kawawa wengine wengi katika mapambano hayo dhidi ya mkoloni ambaye aliinyonya nchi kwa kiwango kikubwa na kuwadhlilsha raia wa Tanzania.Raisi Jakaya Mrisho Kikwete aliongoza mazishi hayo akiwa pamoja na maraisi wengine wastaafu walishiriki vyema kwenye mazishi hayo.

Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment