1.Kufanya ngono zinaa na wanaume tofauti tofauti
2.Kushikwa sehem za siri na mwanaume wakati mikono yake ni michafu.
hapa wanawake wengi ndio hupata U.T.I mwanaume mikono michafu anakushika sehem za siri bacteria wote wanaishia kwenye sehemu za siri matokeo yake utaugua U.T.I kila
siku.
3.Kujisafisha sehemu ambapo maji yanakurukia yale ambayo unajisafishia,huingiza bacteria na kusababisha U.T.I isioisha.
4.Matumizi ya pedi zenye kemikali hapa ndipo hatari sasa,wanawake wengi Wamekuwa Wanaathirika kwa U.T.I kwasababu pedi nyingi Wanazo tumia zina kemikali ambazo zinauwa bacteria wa asili ambao huzuia U.T.I matokeo yake Wataugua hadi basi na matokeo yake ni kupata kansa ya kizazi,kuingia hedhi bila mpangilio,naweza kukushauri tumia pedi zisizokuwa na kemikali ambazo natumia hutaugua U.T.I kamwe ukizitaka hizo pedi Tutaweka namba za simu mwisho piga namba hizo popote utaletewa.
5.Uchafu wa vyoo
Kutokusafisha vyoo husababisha ugonjwa huu kwa kasi kubwa hasa wale mnaishi vyoo vya shimo haviko visafi kwa hiyo bacteria huingia kwa uharaka sana na kupata U.T.I na wale wenye vyoo vya kisasa pia safishen kwa dawa
6.Kutokunywa maji kwa wingi
Asilimia kubwa kwa wanawake hawana desturi ya kunywa maji mengi hapa ndipo wanapo sababisha matatizo ya kupata U.T.I kila siku kwa sababu hawanywi maji mengi ili wakienda kukojoa ili bacteria watoke.
7.Kubana mkojo kwa muda mrefu.hili nalo ni tatizo kwani unaruhusu bacteria kuingia kwenye kibofu.utakuta mtu anabanwa mkojo mwenge anaenda kukojoa tegeta
U.T.I INASABABISHA SHINIKIZO LA DAMU (High Blood Pressure).
Ushauri na Matibabu unaweza kunitumia baruwa ya pep email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com au waweza kuni add kwenye Whats Up yako namba yangu hii hapa +905344508169

0 comments :
Post a Comment