-->

WAZILI WA MAMBO YA NJE JOHN KERRY AKUTANA NA WAGOMBEA WAWILI WA AFGHANSTAN

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, John Kerry, amekutana na Abdullah Abdullah na Ashraf Ghani, wagombea wawili wa uchaguzi wa rais wa Afghanistan ambao kila mmoja anadai ndiye mshindi, kwa nia ya kutafuta suluhu ya mzozo unaonukia katika taifa hilo ambalo Marekani ililivamia kijeshi zaidi ya miaka 10 iliyopita na ambalo muda wa wanajeshi wake kusalia humo unakaribia kumalizika.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment