-->

BREAKING NEWSSS:MATOKEO YA FORM SIX YAMETOKA,BOFYA HAPA KUTIZMA

NECTA'S LOGOMATOKEO YA KIDATO CHA 6 2014 YATANGAZWA
Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka.
Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825


Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.

BOFYA HAKO KAPICHA KANAKOCHEZA CHEZA KUWEZA KUYAONA

f
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment