-->

DONDOO ZA AFYA:ZIJUE ATHARI ZA MINYOO NDANI YA MWILI WA BINAADAMU

 
Wagonjwa wa Minyoo wanaweza kukaa bila dalili yoyote kwa muda mrefu sana lakini kadri inavyokua na mabuu yanavyosafiri sehemu mbalimbali za mwili huweza kusababisha uharibifu wa viungo vya ndani, kuvimba tumbo,na kuvimba ini au wengu, kusababisha sumu mwilini, na kichomi.
Pia Kuambukizwa na minyoo
mingi inaweza kusababisha utapia
mlo, na madhara mengine, wakati
mwingine ni hatari sana, kwa kuziba utumbo kwa donge na mkusanyiko wa minyoo.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment