Kiongozi
wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, ameishutumu serikali ya Rais
Uhuru Kenyatta kwa kushindwa kulinda usalama wa taifa na kukabiliana na
mashambulizi, huku pia akionya juu ya kuzidi kwa mivutano ya kikabila
katika taifa hilo kubwa kiuchumi Afrika ya Mashariki. Odinga amerejelea
wito wake wa kuitaka serikali kuyaondoa majeshi yake nchini Somalia na
ameikosoa vikali serikali hiyo kwa kutumia hali mbaya ya usalama
kujipatia umaarufu dhidi ya wapinzani wake.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment