Kupitia wall yake ya facebook Kamanda Kagose aliandika maneno yafuatayo ambayo hutamkwa na mtu anaebadilisha dini na kujiunga na dini ya Uislam
"Baada ya kuwa katika tafakuri kwa muda mrefu hatimaye leo nimefikia hitimisho la kile nilichokusudia.Kwa Maneno haya ndivyo nilivyouaga Ukristo leo tarehe 15.7.2014.
"Ash hadu Allah Illahaa ila Allah wa Ash hadu ana Muhamad Rasul Alllah" Nakiri kwa moyo wangu na kushahadia kwa ulimi wangu kwamba hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki ila Mungu yaani Allah,na Mtume Muhamad ni mjumbe wake.Na nabii Issa yaani Yesu si Mungu na wala si Mwana wa Mungu bali mtume kama mitume wengine.
Asalaam Alaykum!"
pia
Ameweka picha akiwa katika vazi la nusu kanzu kama linavyoonekana hapo chini
Historia inaonyesha Kamanda Kagose alisoma katika Chuo cha Jordan Morogoro huku akiwa kiongozi wa CHADEMA katika tawi la Jordan pia kiongozi wa kwanza CHASO(CHADEMA STUDENTS ORGANISATION) katika mkoa wa Morogoro.

0 comments :
Post a Comment