Luiz Felipe Scolari.
BRAZIL
inatarajia kumtangaza kocha wake mpya katika mkutano na wanahabari Julai
22 mwaka huu kufuatia kujiuzulu kwa kocha wa timu hiyo, Luiz Felipe
Scolari.
Scolari
mwenye umri wa miaka 65 aliiongoza Brazil katika Kombe la Dunia ambapo
timu hiyo ilipata kichapo kibaya cha mabao 7-1 dhidi ya mabingwa wa
kombe hilo Ujerumani.
Aliyekuwa kocha wa timu hiyo ambaye aliiongoza kati ya mwaka 2006 na 2011 huenda akarejea na kuchukua mikoba ya Scolari.
SOURCE:MATUKIOTZ
0 comments :
Post a Comment