Askari
Polisi wakimtoa nje daktari feki, Karume Habibu (22) kutoka kwenye
ofisi ya Mganga Mkuu wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro ambako
alihojiwa kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi kwa mahojiano zaidi.
WIMBI la madaktari feki kuingia katika
hospitali wakijifanya madaktari na kutoa huduma mbalimbali limeendelea
ambapo leo amenaswa mwingine mkoani Morogoro
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment