Kutoka kwa https://www.facebook.com/pages/Mazrui-Media-Communication/247412001951938?hc_location=timeline
Wasiofunga kuadhibiwa Pemba
Vijana wakipata joto ya jiwe baada ya kukutwa mchana wa Ramadhaan Machomanne Chake Pemba wakifanya mambo kinyume na maadili ya mwezi mtukufu.( Picha kwa hisani ya Abdi Suleiman, Pemba)
Taarifa zinasema kwamba vijan hawa kwa makusudi walibaina wakila mchana katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhana.
Baada ya kuona hivo vijana wenye hasira kali waliwafuata na kuwanza kuwacharaza bakora.
Mazrui media tunafatilia kwa kina kupata habari kamili juu ya tukio hili ili tuweze kukujuza.

0 comments :
Post a Comment