-->

MANCHESTER HII HAISHIKIKI.....VAN GAAL AANZA NA TIZI ZA KUTOSHA AKIWA MAREKANI

Getting along: Van Gaal smiles as he looks across at Rooney, who is also grinning
Van Gaal akitabasamu wakati akimtazama  Rooney ambaye pia alifurahi.
Good vibrations: The United camp looked a happy place on Saturday in Los Angeles
Kambi ya Man United ilionekana kuwa na furaha jumamosi mjini  Los Angeles
Put through his paces: New £30m signing Luke Shaw, left, sidesteps round a cone during a United drill
mchezaji aliyesajiliwa kwa paundi milioni 30,  Luke Shaw, kushoto, akifanya mazoezi na wenzake 
Agility: Ander Herrera, right, gets a chance to show his fitness in front of his new coach and team-mates
 Ander Herrera, kulia, alipata nafasi ya kuonesha ufiti wake kwa kocha wake na wachezaji wenzake
Matadors: Herrera and Mata stretch out while holding weighted balls
 Herrera na Mata wakinyosha viungo
Young blood: Reece James is one of the academy players who has been called up for the US tour
Kinda: Reece James ni miongoni mwa wachezaji wa Akademi walioitwa katika ziara ya Marekani.LOUIS van Gaal na wachezaji wake wa Manchester United wapo katika morali kubwa kwenye ziara yao nchini Marekani.
Mholanzi huyo alionekana kucheka na kutaniana na mshambuliaji wake, Wayne Mark Rooney, wakati wachezaji wapya Luke Shaw na Ander Herera wakipata nafasi ya kuwajua wachezaji wenzao.
Man United wamepigga kambi ya maandalizi ya msimu mpya huko Marekani na sasa wanajiandaa na mechi ya kirafiki jumatano ijayo dhidi ya LA Galaxy.
Van Gaal na Rooney walionaka kuelewana vizuri ambao mshambuliaji huyo wa kimataifa wa England alikuwa anamtania bosi wake mpya.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment