Tito Vilanova amefariki duniia baada ya kuumwa kwa muda mrefu kansa ya koo,Tito Vilanova ambae alipokea mikoba ya Pep Gadiola,Alishindwa kendelea kuifundisha timu hiyo baada ya kusumbuliwa na ugonjwa huo wa kansa ya koo.Siku ya alhamisi alipelekwa kwenye emergence room ili aweze kufanyiwa opereshen baada ya hali yake kuwa mbaya toka alipolazwa wiki iliyopita.
Kwa wapenda soka wote wamekutwa na majonzi kwa kuondoka kwa kocha huyo wa Barcelona ambae amefariki akiwa na umri wa miaka 45.
SISI SOTE NI WA MWENYEZIMUNGU NA KWAKE TUTAREJEA
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment