-->

AZAM WABEBA KOMBE RASMI LEO BAADA KUMALIZIKA KWA LIGI KUU BARA

 Wachezaji wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Azam FC ya Chamazi Dar es Salaam wakishangilia baada ya kuweka historia ya kutwaa Ubingwa wa Soka Tanzania 2013-2014. Ubingwa huo ulikuwa unashikiliwa na Yanga iliyoambulia nafasi ya pili na leo ikitoka sare na Simba 1-1
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment