Wezi wakiwa chini wakila kichapo cha kimya kimya toka kwa wananchi.
Mwizi akijitetea kuwa ni mpita njia jamani mimi ni mpita njia ‘’’’ tulia wewe tumewachoka alisikika sauti ya kike .
Jamaa waliwapa mapumziko kidogo wezi hao.
Polisi wakiwachukua wezi hao baada ya kula kichapo na mateso kwa masaa mawili
Wananchi wakipeana umbea kwa walio kuwepo na wasio kuwepo kila mtu anasema lake
Tukio hili limetokea leo majira ya saa kumi na mmoja asubui maeneo ya sinza kumekucha maarufu kwa jina la DR cool production. Wezi hao walitaka kubomoa duka bila mafanikio ndipo walipo kamamatwa na kujitaidi kukimbia uku wakijikuta wamesha kamatwa kutokana wingi wa watu walio kuwa wakiwahi makazini mda huo kutokana kuwahi usafiri , hadi tunatoka eneo la tukio wezi hao walipelekwa kituo cha polosi huku wakiwa wazima japo wamechapika mbaya
0 comments :
Post a Comment