Ajali
hii imeyotokea usiku wa kuamkia leo jumamosi katika daraja la mto
Kanoni barabara iendayo Bandarini kwenye manispaa ya Bukoba, Gari hilo
ndogo ainaya Toyota yenye namba za usajili T 910 CTC, ambalo mmiliki
wake hajajulikana.
Japo
katika eneo la tukio mwananchi mmoja alisikika akisema ni mal;i ya
Askari Polisi ambae hakumtaja jina, Mtandao huu ulifika kwenye kituo cha
Polisi kujilidhisha na tulikutana na Bw Magayane ambae ni msaidizi
katika kitengo cha Usalama Barabarani alikiri kuwa na Tarifa za ajali
hiyo na kusibitisha kuwa hakuna aliyeumia, na nilipotaka kujua mmiliki
wa Gari hili alisema hawamjui wapo katika jitihada za kumtambua.
Wananchi wakiangalia ajali ya gari Daraja la mto Kanoni barabara iendayo Kastam bandarini
Kama kweli ni ulevi ni nomaaaa
Jamani umakini Barabarani ni muhimu
Mwendo kasi, ulevi, kuongea na simu ni hatari unapoendesha gari kuwa makini.
PICHA NA JAMCO BLOG
PICHA NA JAMCO BLOG
0 comments :
Post a Comment