-->

SHUHUDIA PICHA NA MATUKIO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA MKOANI KILIMANJARO

Leo ni Law Day, tunamsubiri mgeni Rasmi
Wanasheria wakimsubiri Mgeni Rasmi
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Moshi, Jaji Aisha Nyeyere, akiongoza Wanasheria katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Moshi, Jaji Aisha Nyeyere (kulia), akikagua Gwaride la Heshima katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Moshi, Jaji Aisha Nyeyere, akijiandaa kukagua gwaride la Heshima katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Moshi, Jaji Aisha Nyeyere, akijiandaa kukagua gwaride la Heshima katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu kanda ya Moshi, Jaji Aisha Nyeyere (kushoto) akiwa na Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, Robert Boaz katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi.

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, (kulia) ambaye ni mgeni mwalikwa katika

Siku ya Sheria tumependazaje leo

Baadhi ya Mawakili Mashuhuri katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi.

Kamishna wa kamati ya Usuluhishi Taifa, Japhary Ally (kulia) akiwa na Mawakili wenzake katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi.

Mwanasheria, wakili wa serikali,  Elizabeth Minde katika maadhimisho ya siku ya Sheria (Law Day), yaliyofanyika leo katika viwanja vya Mahakama Kuu kanda ya Moshi


  
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment