-->

WANAFUNZI WA ST ANN MARIE ACADEMY WAFANYA VURUGU NA KUHARIBU MALI ZA SHULE KINONDONI,DAR ES SALAAM

 Mkuu wa Wilaya ya Kinoniondoni, Jordan Rugimbana akikagua chumba cha kompyuta ambacho kumefanyika uharibifu mkubwa na kuharibu kompyuta za mezani 40 na kompyuta mpakato 16 hazijulikani zilipo baada ya wanafunzi kuvamia maeneo mbalimbali ya shule hiyo alajiri ya kuamkia leo majira ya saa nane usiku na kufanya uiharibifu hio na kuvunja vinja vioo vya majengo na magari.

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana (kushoto) akiwa pamoja na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camilius Wambura wakikagua uharibufu uliofanywa na wanafunzi wa Shule ya sekondari ya St. Anne Marie iliyopo Mbezi jijini Dar es Salaam leo.
 Mabasi ya shule na magari mengine yapatayo 17 yamevinjwa vioo na kuharibiwa vibaya.
 Maisha ya sasa ni ya sayansi na teknolojia na hii ndio moja ya maabara ya teknolojia hiyo ambayo imeharibiwa vibaya na wanafunzi hao.
 DC wa Kinondoni akizungumza na walimu wa shule na viongozi wa shule hiyo.
 Walimu wakimsikiliza DC wa Kinondoni
Viongozi wa wanafunzi wakimsikiliza mkuu wa wilaya.
Kwa hisani ya father kidevu Blog
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment