-->

MANCHESTER UNITED YATAKATA UGENINI,YAMPIGA CRYSTAL PALACE BAO 2-0


Robin Vanpersie akipiga penati ambayo ilipelekea kuipatia timu hiyo bao la kwanza dhidi ya Crystal palace
Wayne Rooney akipongezwa na wachezaji wenzake wa Manchester united baada ya kupiga bao la pili kwa umaridadi kabisa
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment