-->

AJITUPA KWENYE ZOO ILI CHUI WEUPE WAWEZE KUMTAFUNA


Wamiliki wa Zoo moja ya nchini China wamefanikiwa kumuokoa kijana mmoja wa kichina aliyefahamika kwa jina Yang Jinhai, 27 ambaye alipata kazi hapo awali ya kuwa mlinz katika Chengdu katika kusini magharibi mwa China kwenye jimbo la Sichuan.Hapo awali alifurahishwa sana na kazi ingawaje baadae alichoshwa nayo na kisha kuamua kuacha kazi na kuamini kwamba atapata kazi nyingine yenye maisha mazuri zaidi.Kijana huyo mwenye umri wa miaka 27 alitembelea zoo moja ambako alikuta kuna chui weupe waliowekwa kwenye uzio(cage),Kijana huyo aliwaonea huruma chui hao na kusema kwa nini hawati uhuru wa kwenda kwenye mazingira yao asiria ili waweze kufurahia maisha yao.Ili kuwasapoti chui hao akaamua kujitosa kwenye zoo yenye chui weupe ili wamtafune.Jambo la kushangaza chui hao hawakumtafuna kijana huyo alieonekana kuwa na msongo wa mawazoHorrified witnesses watch a man being dragged around by a Bengal tiger at Chengdu Zoo in China

Video Source PPS SCTV
Yang Jinhai, 20, apparently wanted to sacrifice himself to the tigers
Yang Jinhai, 27, Akiwa amejitupa kwenye zoo hiyo yenye chui weupe
Rescued: The tiger eventually let Mr Jinhai go and zoo keepers led him to safety
Chakushangaza chui walimuacha Mr Jinhai na kuamua kumkimbia jambo ambalo lilishangaza watu wengi waliokuwepo kwenye zoo hiyo 
Troubled: Mr Jinhai had apparently been depressed and wanted to sacrifice himself to the tigers 
                          JE KAMA HUYU NI NDUGU YAKO UTAMFANYAJE???
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment