Mkazi wa Newala, Maimuna Pinda akionyesha eneo la 'Shimo la Mungu', sehemu ambayo pia wenyeji wa wilaya hiyo hufanyia matambiko.
Shimo hili nikivutio kikubwa sana kwa wana nchi pia wageni wanao tembelea wilaya hii pia mkoa huu wa mtwara.
ndugu
watanzania kuwekeza sehemu sio lazima kuwe na bahari au mbuga za
wanyama pia kuna vivutio ambavyo tukivitumia ipasavyo basi nazani
tutatokomeza umasikini wakila mtanzania.
0 comments :
Post a Comment